Saturday, June 10, 2017

PICHA MBALIMBALI ZA WARSHA YA KARIKACHA NA VIBONZO JIJINI DAR ES SALAAM

Picha mbalimbali zikimwonesha mwezeshaji Nathan Mpangala, akiwaelekeza jambo washiriki wa warsha ya karikacha na uchoraji vibonzo iliyofanyika tarehe 7-9 mwezi huu, jijini Dar es Salaam. Warsha hiyo iliandaliwa na asasi ya Nathan Mpangala Foundation (NMF) na kufadhiliwa na Ubalozi wa Uswis nchini Tanzania. Picha zote: Geofrey Films