Thursday, June 08, 2017

MKURUGENZI MKUU TMF, BW. ERNEST SUNGURA AFUNGUA MAFUNZO YA KARIKACHA NA WACHORA VIBONZO JIJINI DAR ES SALAAM

 

Mkurungenzi wa Mkuu wa Tanzania Media Foundation (TMF), Bw. Ernest Sungura aliyekaa mbele katikati akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wachora vibonzo vijana mara baada ya kuzindua rasmi warsha hiyo ya kuwajengea uwezo. Mafunzo hayo yanatolewa na asasi ya Nathan Mpangala Foundation (NMF) na kufadhiliwa na Ubalozi wa Uswis nchini. Kushoto kwa mgeni rasmi ni Mwenyekiti wa NMF, B. Nathan Mpangala wakati kulia kwake ni afisa utawala wa Nafasi Art Space. Mafunzo yatamalizika kesho ambapo Balozi wa Uswis anatarajiwa kuwa mgeni rasmi. Picha zote: Geofrey Films

Mwezeshaji Nathan Mpangala, akimwelekeza jambo mmoja wa washiriki wa warsha ya karikacha na uchoraji vibonzo yanayoendelea jijini Dar es Salaam.