Tuesday, May 16, 2017

INA RAHA YAKE KUJIVUNIA VYA NYUMBANI. KILA LA KHERI MBWANA ALLY SAMATTA

 Mtangazaji maarufu nchini, Shaffih Dauda, kulia, akimkabidhi jezi ya Klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji, mchora vibonzo Nathan Mpangala, jijini Dar es Salaam, jana mara tu baada ya mwandishi huyo kutua nchini. Mpangala amenunua jezi hiyo yenye jina la Mbwana Ally Samatta " Samagoal" kama sehemu ya sapoti kwa mchezaji huyo anayepeperusha vizuri bendera ya Tanzania nchini humo.