Thursday, April 27, 2017

WIKI YA ELIMU KITAIFA MTWARA

Mwenyekiti wa Nathan Mpangala Foundation (NMF) ambaye pia ni mchora vibonzo, Nathan Mpangala, kushoto, akibadilishana mawili matatu na wanafunzi wa darasa la kwanza wa Shule ya Msingi Mangaka, wilayani Nanyumbu, Mtwara, kwenye moja ya mabanda wakati wa maonesho ya wiki ya elimu inayofanyika kitaifa wilayani humo, juzi. Kushoto kwake ni mwalimu Jackson Prosper.