Monday, April 17, 2017

JIPATIE FULANA YA MTUKWAO

FULANA zenye kibonzo maarufu cha "Mtukwao" zimetoka. Akizungumza na blogu hii, mchora vibonzo maarufu nchini, Nathan Mpangala alisema ameamua kutengeneza fulana hizo mahsusi ili fedha zitakazopatikana zisaidie programu mbali mbali za taaisisi yake inayojihusisha na sanaa inayofahamika kwa jina la Nathan Mpangala Foundation (NMF).