Thursday, April 20, 2017

BALOZI JENSEN ATEMBELEA NAFASI ART SPACE


Balozi wa Denmark Nchini Tanzania, Einar Hebogard Einar HebogĂ„rd Jensen, akibadilishana mawili matatu na wasanii Lutengano Mwakisopile (katikati) na Nathan Mpangala wakati alipotembelea kituo cha sanaa cha Nafasi Art Space, Dar es Salaam leo. Ubalozi huo ni miongoni mwa washirika wa maendeleo wa kituo hiko.