Tuesday, February 21, 2017

MAZUNGUMZO: Msani Emmanuel Mgaya maarufu kwa jina la Masanja Mkandamizaji, kushoto, akiwa katika ofisi ya msanii mwenzake, Nathan Mpangala ambapo walifanya mazungumzo kuhusu mambo "flani flani".