Tuesday, November 01, 2016

MAONESHO: Mwenyekiti wa Corona Society, Bi. Jumana Saifee akibadilishana mawili matatu na Nathan Mpangala, mwenyekiti wa Nathan Mpangala Foundation / mchora vibonzo ITV katika Hotel ya Double-Tree, Dar es Salaam, leo. ****FAIR: Chairperson of Corona Society, Ms. Jumana Saifee in conversation with Nathan Mpangala, chairperson of Nathan Mpangala Foundation / cartoonist for ITV at Double-Tree Hotel, in Dar es Salaam, today.