Monday, October 24, 2016

WADAU wa karibu kabisa wa vibonzo: Amabilis Batamula (kotini), Bahati Mdetele (kati) na Mette Pjengaard wakipiga maneno mawili matatu na mchora vibonzo, Nathan Mpangala hivi karibuni katika onesho la vibonzo lilifanyika Makumbusho ya Taifa, Dar es Salaam.