Saturday, October 22, 2016

ONESHO LA VIBONZO LAFANYIKA MAKUMBUSHO YA TAIFA DAR ES SALAAM

Baadhi ya wachora vibonzo wanaoshiriki onesho la vibonzo lililoandaliwa na Makumbusho ya Taifa kupitia mpango wake wa Museum Art Explosion wakibadilishana mawazo na kupiga picha ya pamoja hivi karibuni. Onesho linaendelea leo, Jumamosi.