Monday, October 24, 2016

Onesho la vibonzo lililofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, Dar es Salaam kupitia mpango wake wa Museum Art Explosion lilivutia wengi. Pichani marafiki kutoka Denmark; Michael, Thomas, Anette wakijadiliana jambo na mchora vibonzo Nathan Mpangala.