Tuesday, October 11, 2016

EJAT 2015
Jaji wa Shindano la Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT) 2015, ambaye pia ni mchora vibonzo wa ITV na Mwenyekiti wa taasisi ya "Nathan Mpangala Foundation," Nathan Mpangala (kushoto) akimkabidhi tuzo Bw. Mansour Jumanne wa SAUT FM ya Mwanza katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa Mlimani City, Jijini Dar es Salaam.