Saturday, May 07, 2016

SAMATTA AMTULIZA KARELIS, SASA NAMBA NI YAKE, JANA ACHEZA DAKIKA 90, GENK YAUWA


KWA mara nyingine tena, Mbwana Samatta jana alicheza dakika 90 ikiwa ni dalili kwamba sasa keshaingia kwenye kikosi cha kwanza ambapo katika mchezo huo KRC Genk ikicheza nyumbani iliibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wageni Zulte-Waregem, magoli ya washindi yakifungwa na Kebano na Ndidi. Pichani, amshaamsha za Samatta katika mchezo huo. (Picha zote na mtandao wa Genk) 
Vita ya jana. Kila la kheri Samatta.
Samatta kazini jana.