Thursday, May 12, 2016

KISWAHILI KILA KONA SHULE YA MSINGI YA CATTON GROVE YA UINGEREZA!

Wakati baadhi ya Watanzania bado tunakipiga mawe Kiswahili kwamba ni lugha ya 'kijiweni' na kwamba hakina 'a wala be' duniani, Shule ya Msingi ya Catton Grove ya Uingereza imeamua kutuonesha kwa vitendo kwamba tunachemka. Wao wameshaanza kuwafundisha wanafunzi wao tena kuanzia ngazi ya msingi! Kinachofurahisha zaidi wanajua chimbuko la Kiswahili ni Tanzania. Asante! (Picha zote na Shule ya Msingi Catton Grove)