Saturday, January 11, 2014

DINGI NA DOGO

DINGI: Hizi leso zoooote unanipa za nini?
DOGO: Ili baadae ukienda kuangalia mechi ya Manyuu na Swanseiya usipate taabu..!
DINGI: Hebu nipishege huko!