Monday, January 28, 2013

MSOSI WA MOTOOOO!

Hapa ndipo mjomba fisi na famili yake wanaponichosha. Wakikutia kati, unaweza kujikuta bado unahema lakini washafyagia kiuno chako chote!