Wednesday, July 18, 2012

MABADILIKO YA JINA LA BLOGU

Poleni kwa majukumu wadau. Katika jitihada za kurahisisha mawasiliano, nimebadili jina la blogu yetu ya katuni. Badala ya www.komicfirst.blogspot.com sasa itakuwa www.nathanmpangala.blogspot.com. Blogu yenu inaahidi kuendelea kuwaletea katuni kedekede za wachoraji mbalimbali. Karibuni sana.