Wednesday, July 18, 2012

HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUMBE!!!

INASEMEKANA MELI INAYOFAHAMIKA KWA JINA LA SKAGETI, IKIWA NA ABIRIA 200 INADAIWA KUZAMA KWENYE KISIWA CHA CHUMBE HUKO ZANZIBAR MUDA SI MREFU. HABARI ZAIDI TUTAWELETEA KADIRI ZITAKAVOJIRI...