Thursday, May 31, 2012

WAENDESHA PIKIPIKI DAR WAWABURUZA WATUHUMIWA POLISI

Waandesha pikipiki wakiwa katika Kituo cha Polisi, Kilwa Road, Jijini Dar es Salaam leo baada ya kuwapeleka watu ambao wanawatuhumu kuwa ni miongoni mwa kundi linalojihusisha na ukuporaji pikipiki maeneo ya Mtoni Mtongani.
Mmoja wa waendesha pikipili kama alivyokutwa na kamera ya blogu hii leo asubuhi.