Friday, May 25, 2012

TAIFA STARS YAENDELEA KUJIFUA, TAYARI KUIKABILI MALAWI

Kocha wa timu ya Taifa 'Taifa Stars', Kim Poulsen (kushoto), akisisitiza jambo kwa mshambuliaji wa kimataifa, Mbwana Samata wakati wa mazoezi kwenye Uwanja wa Taifa, Jijini Dar es Salaam jana.
Tukipiga kona simama hapa. Kocha wa Taifa Stars, Kim akimwaga utaalamu kwa mshambuliaji hatari Mbwana Samata mazoezini jana.
Mohamed Said(13), akifuatilia mazoezi ya Taifa Stars kwa makini kama alivyokutwa na blogu hii jana. Stars, msimwangushe shabiki huyu.