Wednesday, May 02, 2012

SIMBA NA YANGA ENZI HIZOOOOOOOOOOOOOO

MECHI ya Simba na Yanga Miaka ya tisini kurudi nyuma ilikuwa ni zaidi ya burudani. Starehe ilikuwa sio pasi au magoli tu, kulikuwa na vionjo vingine vya kumwaga. Mfano, ni vita iliyokuwa kati ya Abubakar Salum 'Sure' na Twaha Hamidu 'Noriega'. Natamani kungekuwa na kumbukumbu za video ili wachezaji wa sasa waone watu walivyokuwa wakifanya kazi. Wenye kumbukumbu zaidi ya gemu hii tupashane...[Picha Daily News]