Monday, May 07, 2012

RAIS JAKAYA KIKWETE AAPISHA MAWAZIRI LEO

Mh. Hawa Ghasia (TAMISEMI) akila kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Jakaya Kikwete kwenye Viwanja vya Ikulu, Jijini Dar es Salaam leo.

Dk. Harrison Mwakyembe, akila kiapo cha Uwaziri wa Uchukuzi.