Tuesday, May 01, 2012

MATOKEO KIDATO CHA SITA HADHARANI

Katibu mtendaji, Dkt. Joyce Ndalichako, leo ametangaza matokeo ya kidato cha sita ambapo shule iliyoongoza ni Marian Girls ya Bagamoyo, Pwani.

Pia amepunguza adhabu ya miaka mitatu na kuwa mwaka mmoja iliyokuwa imetolewa kwa watahiniwa waliobainika kufanya udangayifu wa matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2011.
[Chanzo: Blogu ya Fullshangwe]