Tuesday, May 01, 2012

MATAA KILWA RODI SASA SWAAAFI

Makutano ya barabara za Kilwa na Mandela, Jijini Dar es Salaam, sasa yako salama baada ya taa za makutano hayo kuanza kufanya kazi kama zilivyokutwa na blogu hii jana usiku.