Wednesday, May 09, 2012

BONDIA SELEMANI KIDUNDA AFUZU OLIMPIKI

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Ngumi za Ridhaa Nchini, Michael Changalawe akipa mkono bondia Selemani Kidunda wakati wa kumpongeza baada ya kufuzu mashindano ya Olimpiki yanayotarajia kufanyika hivi karibuni nchini Uingereza.

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Ngumi za Ridhaa nchini, Michael Changalawe akitoa nasaa zake kwa mabondia wa timu ya Taifa wakati wa kumpongeza bondia, Selemani Kidunda aliyefuzu kucheza mashindano ya Olimpiki yanayotarajia kufanyika hivi karibuni.

Kocha David Yombayomba, kushoto, akimpongeza bondia Selemani Kidunda wakati wa kumpongeza baada ya kufuzu mashindano ya Olimpiki.  [Chanzo:www.superdboxingcoach.blogspot.com]