Thursday, May 10, 2012

AJALI MOROGORO

Basi namba T 820 BEY lililokuwa likitoka Mwanza kwenda Dares Salaam likiteketea baada ya kupata hitilafu ya umeme eneo la Maseyu, Mkoa wa Morogoro, hivi karibuni. Hakuna aliyejeruhiwa.