Friday, March 02, 2012

WADAU NHIF RUVUMA WAKUTANA LEO

Mh. Gaudence Kayombo, Mbunge wa Mbinga Mashariki, Mkoa wa Ruvuma, akifuatilia kwa makini mada kuhusu utekelezaji wa Mfuko wa Afya ya Jamii katika siku ya wadau wa mfuko huo, iliyofanyika Mjini Songea, leo katika ukumbi wa Songea Club. [Picha: Michuzijr blogu]