Sunday, March 04, 2012

Sunzu

ZILIZOTUFIKIA: SIMBA WANAONGOZA 2-0 KOMBE LA SHIRIKISHO DHIDI YA KIYOVU YA RWANDA, UWANJA WA TAIFA. STAILI YA MAGOLI YAFANANA. KROSI MBILI NDANI YA BOKSI TOKA UPANDE WA KUSHOTO ZA MGANDA, EMANUEL OKWI, ZATENDEWA HAKI NA MZAMBIA FELIX SUNZU. MAGOLI YAFUNGWA DAKIKA ZA 19 NA 33, MPIRA BADO UNAENDELEA...