Friday, March 02, 2012

NUNUA MBOGA KWA AJILI YA FAMILIA KUPITIA HUDUMA YA AIRTEL MONEY

Meneja Uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando (katikati), akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa halfa ya uzinduzi wa huduma mpya inayomwezesha mteja kununua mboga kwa ajili ya familia kupitia huduma ya Airtel Money, inayotelewa na Airtel kwa kushirikiana na kampuni ya Stake Agrobase International limited. Kulia kwake Meneja wa Airtel money, Asupya Nalingingwa na kushoto ni Afisa Mauzo wa SAIL, Bw. Daniel Kimati.

Afisa Mauzo wa SAIL, Bw. Daniel Kimati, akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani), wakati wa halfa fupi ya uzinduzi wa huduma mpya inayomwezesha mteja kununua mboga kwa ajili ya matumizi ya nyumbani kupitia huduma ya Airtel money inayotelewa na Airtel kwa kushirikiana na kampuni ya Stake Agrobase International limited. Katikati ni Meneja Uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando, kushoto ni  Meneja wa Airtel Money, Asupya Nalingingwa.