Friday, March 30, 2012

MAFUNZONI MEXICO

Mafunzo muhimu. Nikiwa na baadhi ya washiriki toka sehemu mbalimbali duniani, tukitafakari jinsi ya kutengeneza video fupi kwa ajili ya familia zilizopoteza ndugu zao kutokana na mauaji yanayohusishwa na dawa za kulevya hapa Mexico. Mafnzo haya yanaendesha na School of Authentic Journalism hapa Mexico.