Tuesday, March 27, 2012

MAFUNZONI MEXICO

...nikiwa na washiriki wenzangu kwenye kozi fupi ya uandishi wa habari inayoendeshwa na School  of Authentic Journalism ya Nchini Mexico. Mafunzo hayo ambayo yamekusanya waandishi wa habari zaidi ya 50 toka sehemu mbalimbali duniani.