Thursday, March 01, 2012

HALI KILWA RODI SI SHWARI, HATUA ZA HARAKA ZINAHITAJIKA

Hii ndio hali halisi ya Barabara ya Kilwa ya Jijini Da es Salaam kama ilivyokutwa na kamera ya Blogu hii muda si mrefu. Hali hii inafuatia mvua zilizopiga hodi usiku wa kuamkia leo.

 Hatari..!

 Kazi ipo...!

 Makutano ya Barabara ya Kilwa na ile ya Kichangani nayo hayako salama.

Si magari tu, hata waenda kwa miguu nao wako hatarini kuvunjika miguu!