Saturday, March 03, 2012

ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE: MADAKTARI WAKUTANA DAR ES SALAAM LEO

Baadhi madaktari wakisikiliza ripoti ya utekelezaji madai yao waliyokubaliana kwenye kikao cha maridhiano cha Februari 8, mwaka huu na Waziri Mkuu, Pinda, toka kwa viongozi wa kamati ya muda(hawapo pichani). Kikao hicho bado kinaendelea kwenye Ukumbi wa Water Front, Jijini Dar es Salaam. Taarifa kamili ya yaliyojiri kwenye kikao hicho tutawaletea badae kidogo.

 ...Wakiimba wimbo wa kuhamasisha mshikamano.