Friday, February 24, 2012

WACHINA SAMAKI WA MAGUFULI WALA MVUA 20 KESHIII

HUU SASA MSALA! Wachina waliokamatwa Bahari ya Hindi, eneo la Tanzania wakifanya uvuvi haramu kinyume na utaratibu, Nahodha Hsui Chin Tai (kushoto) na Zhao Hinguin, wakiwa ndani ya chumba cha Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam (kitengo cha Biashara) jana, wakisubiri kupelekwa lupango baada ya kuhukumiwa kwenda jela miaka 20 ama kulipa faini ya Sh. Bilioni 20. [Picha: Sufiani Mafoto]