Monday, February 27, 2012

KUTOKA VIWANJA VYA SIGARA JIONI HII. Mchezaji wa  timu ya Kambangwa ya Dar es Salaam, Rose Mbonde(WA), akijaribu kupeleka mashambulizi kwenye ngome ya timu ya Temeke katika mchezo wa ligi ya Netiboli daraja la pili Taifa inayoendelea kwenye viwanja vya Sigara jijini Dar es Saam. Temeke Queen iliibuka na ushindi wa magoli 24-16. Picha na matokea ya mechi zingine za leo baadae kidooogo. KAA MKAO WA KULA.