Sunday, February 26, 2012

TIMBWILITIMBWILI ZA BARABARA YA KILWA, JIJINI DAR ES SALAAM

AKILI MKICHWA: Haiitaji maneno ya ziada, picha inajieleza yenyewe!
KULIA LORI MBELE SHIMO: Hadhaki kama lilivyonaswa na kamera yetu leo kwenye makutano ya Barabara za Kilwa na Mivinjeni Kurasini, Jijini Dar es Salaam. Inadaiwa shimo hilo lipo hapo kwa muda mrefu sasa.