Thursday, February 16, 2012

BODABODA GOOO!

WAENDESHA pikipiki wakisubiri taa ya kijani ifanye mambo ili waendelee na safari kama walivyokutwa na kamera yetu kwenye makutano ya barabara za Kawawa na Pugu, Temeke, Dar es Salaam. Mara nyingi, pikipiki zimekuwa zikikatiza kwenye taa nyekundu tena mbele ya askari wa usalama barabarani.  Swali, au taa haziwahusu?