Saturday, February 18, 2012

ZILIZOTUFIKIA: AMRY ZAKI ATIA MCHANGA PILAU LA YANGA UWANJA WA TAIFA

Wachezaji wa timu ya Yanga wakishangilia baada ya Khamis Kiiza, kufunga goli. Hata hivyo, Zamalek walisawazisha kupitia kwa fowadi wao hatari, Amri Zaki na kufanya matokeo kuwa 1-1. Huu ni mchezo wa mashindano ya Klabu bingwa barani Africa yanayoandaliwa na shirikisho la vyama vya mpira wa miguu (CAF), timu hizo zitarudiana tena nchini Misri, wiki mbili zijazo. Picha: Full Shangwe.